Ujio wa Mbappe Madrid Kuuwa Ufalme wa Vinicius JR, Ingependeza Mmoja Akawa Barcelona




Kwa mujibu ya mitandao mbalimbali ya kijamii baada ya Mbappe kuaga kuwa ataondoka PSG mwisho wa msimu huu basi atatimkia Madrid na Madrid ndiyo timu iliyopewa nafasi zaidi ya kuwa na Mbappe, hata hivyo taarifa zinaeleza kuwa Mbappe ameandaliwa jezi namba tisa iliyokuwa ikivaliwa na Benzema,

Vinicius Jr teyari ameshatengeneza ufalme pale Real Madrid Kwa kiwango fulani huenda ujio wa wa Kaylin Mbappe ukaenda kuua ufalme huo ambao bado haujaimarika vizuri, jina la Vinicius Jr kuwania tuzo za Ballon d'Or taarifa zinaeleza ni jina ambalo lipo kwenye nafasi nzuri ya kutwaa taji hilo,

Ingependeza Mbappe aende Barcelona ili kuendeleza ule upinzani uliokuwepo kati ya Messi na Ronaldo, au mmoja kati yao aamie upande mwingine hata hivyo ina faida kibiahsara,

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad