Unaambiwa Yanga wamemkosa CHAMA kwa mara nyingine tena

 

Yanga wamemkosa Chama kwa mara nyingine tena

Taarifa za ndani zinasema kuwa kiungo Mzambia, Clatous Chama amekubali kuendelea kubakia Simba SC kwa msimu ujao.


Chama alipokea ofa kutoka Yanga SC lakini walishindwana kwenye bei hali ambayo imemfanya staa huyo kurudi msimbazi tayari kwa kukiwasha msimu ujao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad