Watanzania 63 Waukana Uraia wa Tanzania, Kupatiwa Uraia Nchi Zingine

Watanzania 63 Waukana Uraia wa Tanzania, Kupatiwa Uraia Nchi Zingine


DODOMA; KATIKA kipindi cha Julai, 2023 hadi Aprili, 2024 Watanzania 63 walipatiwa uraia wa nchi nyingine baada ya kuukana Uraia wa Tanzania ikilinganishwa na Watanzania 58 walioukana uraia wa Tanzania 66 mwaka 2022/23.
-
Nchi hizo ni: Botswana (1), Canada (15), India (2), Kenya (3), Marekani (5), Mauritius (1), Oman (25), Pakistan (1), Uganda (1) na Ujerumani (9). Kwa msingi huo, watu hao wanakosa sifa ya kuendelea kuwa raia wa Tanzania kwa mujibu wa Sheria ya Uraia, Sura ya 357 Rejeo la 2002.
-
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni leo bungeni mjini Dodoma, takati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa Fedha 2024/2025.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad