Yanga inavyotoa SOMO la usajili kwa Simba na Azam FC

Yanga inavyotoa SOMO la usajili kwa Simba na Azam FC


Kama utakuwa umefuatilia usajili wa Yanga kuna kitu tofuati ambacho unaweza ukakiona hasa kulingana na wachezaji wapya ambao wanaosajili.


Ni kweli baadhi ya sajili pale Yanga zimefeli ila angalau unaona wengi wanaosajiliwa wanafanya vizuri na huwa likitoka jembe moja basi litaingia jembe.


Angalia mifano tangu walipoondoka,Djuma Shaaban,Yanick Bangala na Fiston Mayele,Feisal Salum walipoondoka alafu angalia sajili walizofanya Yanga.


Pacome Zouzoua, Max, Yao Yao, Guede hawa ni baadhi na hii inakupa picha kwamba ndani ya Yanga likitoka jembe basi linaingia jembe lingine.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad