Zuchu Atoa Mpya 'Nimechoka Diamond Ananidhalilisha Mimi Kila Siku'


Mpenzi wa Diamondplatnumz Zuchu ameamua kutoa ya moyoni anayopitia kwenye mahusiano yake na @diamondplatnumz kiasi cha kuamua kufungasha vilago na kuondoka kwa staa huyo
.
Kwa mujibu wa Zuchu anadai kuwa #Diamondplatnumz anafanya kusudi na ndiye kinara anayesababisha watu kumvunjia heshima kila siku. Zuchu anadai lolote baya kikitokea husemwa yeye huku watu wakimuacha #Diamondplatnumz ambaye ndiye sababu ya migogoro Mingi

Kwa sasa Zuchu anasema amechoka na tabia hizo ambazo Diamond ameshindwa kusimama kama mwanaume kumlinda mpenzi wake asidhalilike na kutukanwa mitandaoni

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad