Web

Achraf Hakimi wa PSG Aitembelea Tanzania, Apokelewa na Eng Hersi

Top Post Ad


Rais wa @YoungAfricansSC Eng. Hersi Saidi @Caamil8 akiwa Uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro akimpojea Mgeni wake beki wa klabu ya PSG na timu ya Taifa ya Morocco @AchrafHakimi

Hakimi ametua nchini akiwa na rafili zake na imetajwa kuwa nyota huyo atakuwa nchini kwa wiki moja huku wakitembelea vivutio mbali mbali vya utalii nchini.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.