BREAKING: Mchungaji Peter Msigwa Ahamia CCM Kutoka Chadema



SIASA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutambulishwa mbele ya Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM-Msigwa amehamia CCM ikiwa ni wiki chache tangu akose nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa katika Uchaguzi uliompa ushindi Joseph Mbilinyi (Sugu)

Aidha, hatua hiyo inafuatia madai ya siku za hivi karibuni yaliyoeleza kuwa Mbunge huyo wa zamani alikuwa na mipango ya kuhamia CCM, ingawa mwenyewe aliwahi kukanusha mara kadhaa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad