BREAKING: Mtangazaji Diva Atangaza Kuondoka Wasafi FM



Kupitia Instagram yake @divatheebawse ambaye ni Mtangazaji wa Wasafi Media ameandika kuwa:-

“Hellow watu wangu wa Lavidavi, Napenda kuchukua fursa hii kuwaaga Rasmi, ntawamiss sana, tumekuwa wote toka 7/6/2021 Mlinipokea kwa furaha sana na kiukweli mtabakia kuwa sehem Ya Maisha Yangu, ntakumbuka hasa interviews zote ambazo nilizifanya it was such a great honor kiukweli kuwa Pamoja nanyi, Exclusive zilikuwa nyingi sana, lakin zaid niseme sms zenu za kuchagua nyimbo na kuomba msaada wa kimahusiano
ntazikumbuka zaid na zaid,

@divatheebawse ameongeza kuwa “Naushukuru Uongozi Mzima wa Wasafi Media Kwa Kuwa Na Mimi Kwa Upendo kabisa kwa muda wote huo, shukran za dhati Kwa My Bawse 1 n Only @diamondplatnumz kwa kunipa nafasi nzuri ya kurudi hewani na kuamini katika talent na ubunifu na kufanya kazi kwa bidii, nimejifunza sana vingi kutoka kwake, he is truly one of a kind, a role model but mostly Tanzania One, I’ll forever cherish the airwaves, I’ll forever cherish you and I am so Thankful, I’ll always love n support you and You’ll always have a very special Place in My heart.

Anasema “Lakin nishukuru Pia wafanyakaz wenzangu, djs, and My Producer Director onesmo.

I know this might come as a shock but made decision to depart ways and kuangalia fursa zingine.

as a business woman have alot to do as well and ntaendelea shukuru hasa ushirikiano wenu kwangu.
love you all and all the best
XX
Diva.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad