BREAKING: Simba Wampa Thank You Said Ntibazonkiza


BREAKING: Simba Wampa Thank You Said Ntibazonkiza

Said Ntibazonkiza amemaliza mkataba wake Simba SC na leo rasmi Simba wametangaza kuwa hatokuwa sehemu ya kikosi chao kwa msimu ujao.

Saido anaondoka Simba akiwa mfungaji bora wa timu hiyo kwa misimu miwili mfululizo

2022/23 ______magoli 17
2023/24______magoli 11

Saido Ntibazonkiza amehusika katika mabao mengi (60 + ) zaidi ya mchezaji mwingine yeyote katika NBC Premier League tangu msimu wa 2020/21

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad