Coastal Union Wakanusha Kumuuza Lawi Kwa Simba



Mapema leo Simba SC ilimtambulisha Lawi kama usajili mpya kuelekea msimu wa mashindano 2024/25

Muda mfupi uliopita imetoka taarifa kutoka upande wa Coastal Union kupitia kwa Afisa habari wa klabu hiyo Hassan Mwamba ambaye amekanusha usajili huo akisema Lawi bado ni mchezaji wao

“Tuliwapa taratibu za kufuata kama kweli wanamtaka Lawi , kwa bahati mbaya hawakufuata masharti tuliyowapa , tukaamua ku-cancel na kuwaambia hatupo tayari kufanya biashara”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad