Dewji Afunguka "Tumefanya Kila Kitu Kumbakiza Chama Simba ila....



“Muwekezaji na M/Kiti wa Board ya Simbasc upande wa Muwekezaji Mo Dewji amesema Tumefanya jitihada kubwa kumbakiza Chama pamoja na kumuongeza mkataba na kumboreshea masirahi yake lakini imeshindikana hivyo tumeamua kumuacha aende kwani hakuna Mchezaji Mkubwa kuliko Club”

Tetesi inasemekana Chama Tayari amesaini kandarasi ya Mwaka Mmoja kwa wananchi Yangasc

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad