Fat Joe: Kama sio Msala Huu, Chris Borown Angekuwa Michael Jackson wa leo

 

Fat Joe: Kama sio Msala Huu, Chris Borown Angekuwa Michael Jackson wa leo

Kupitia podcast yake ya ‘The Biggest Fat Joe’, Rapa mkongwe wa Marekani, Fat Joe amesema Chris Brown angekuwa kwenye kiwango sawa na marehemu Michael Jackson, kame asingejiingiza kwenye migongano ya kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wake wakati huo Rihanna.


Nguli huyo wa Hiphop anamtaja Chris Brown kama mwanamuziki mwenye kipaji cha hali ya juu kuwahi kutokea kwenye kizazi hiki.


“Kama Chris Brown asingeingia kwenye ugomvi na Rihanna, tungekuwa tunamwita Michael Jackson sasa hivi. Yeye ndiye mwanamuziki mwenye talanta zaidi kwenye wakati wetu. Hakuna wa kumkaribia” alisema Fat Joe

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad