Hatimaye Mwijaku Amuomba Radhi Mtangazaji Masoud Kipanya


Mtangazaji mpya ww Crown Media Mwijaku amemuomba radhi Mtangazaji wa Clouds Media Masoud Kipanya kwa kile alichokiongea.Mwijaku baada ya kuondoka Clouds Media na kuhamia Crown Masoud Kipanya alitoa maoni yake ambayo yalionekana kumkera Mwijaku.Baada ya Masoud kuongea Mwijaku aliandika ujumbe mbaya mitandaoni kuhusu Masoud Kipanya.Leo hii akiongea na wana habari ametumia fursa hiyo kumuomba Radhi Masoud

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad