Inonga Aandika Ujumbe Instagram Kuwaaga Simba, Aufuta Baada ya Muda Mchache

Kupitia ukarasa wake wa Instagram, Beki wa Simba Sc, Henock Inonga aliweka ujumbe wa kuiaga klabu ya Simba na kusema asante kwa mambo yote ambayo Simba wamemfanyia kwa muda wote aliokuwa Simba.

Kupitia ukarasa wake wa Instagram, Beki wa Simba Sc, Henock Inonga aliweka ujumbe wa kuiaga klabu ya Simba na kusema asante kwa mambo yote ambayo Simba wamemfanyia kwa muda wote aliokuwa Simba.

 "Asante sana kwa familia nzima 🦁🦁🦁 Ninasema asante kwa yote mliyonifanyia nadhani leo nilitaka kuaga. Asante familia mtabaki moyoni mwangu kila wakati mko moyoni wangu" Inonga

Haujapita muda mrefu sana Inonga ameifuta ‘post’ hiyo aliyoiweka katika ukurasa wake.

Unadhani kwanini Inonga amefuta ujumbe huo ??

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad