Israel Mwenda Aongezewa Mkataba Simba SC

 

Israel Mwenda aongezewa Mkataba Simba SC

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsainisha beki Israel Patrick Mwenda nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka 2026.


Mwenda (24) ambaye tayari amehudumu Simba Sc kwa misimu mitatu alijiunga na Wekundu hao wa Msimbazi mnamo Agosti 16, 2021 akitokea KMC FC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad