Juma Mgunda Kuondoka Simba Kurudi Coastal Union Kuongeza Nguvu CAF Shirikisho




Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda inaelezwa yupo mbioni kurejea Coastal Union kwa nia ya kwenda kuiongezea nguvu timu hiyo itakayoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Inaelezwa Mgunda anatakiwa na Coastal kwa uzoefu alionao anga za kimataifa ili asaidiane na David Ouma na inadaiwa mazungumzo yapo mahali pazuri na muda wowote inaweza kutangazwa kurejea kwa Mgosi kwa Wagosi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad