Kazini Kwa Zimbwe Kuna Kazi, Aletewa wa Kugombania Namba Kutoka Congo



BAADA ya miaka zaidi ya sita kupita uongozi wa Simba umefanya uamuzi mgumu kusajili beki wa kushoto mgeni ukinasa saini ya Valentino Nouma (24) aliyekuwa anakipiga Saint Eloi Lupopo ya DR Congo.
.
Nouma 🇧🇫 anaungana na Tshabalala ambaye alijiunga na Simba Juni 2014 akitokea Kagera Sugar ya Bukoba baada ya awali kuchezea pia akademi ya Azam FC. Tshabalala ndiye mkongwe aliyebaki Simba ambaye anacheza nafasi hiyo na mara ya mwisho kuletewa mgeni ni kipindi ilipomsajili Asante Kwasi akitokea Lipuli ambaye alifanikiwa kutwaa taji akiwa na timu hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad