Kocha Gamondi Afurisha Wachezaji Wanne wa Kigeni Yanga



JUST IN: Chanzo changu makini ndani ya Yanga kinaeleza kuwa kocha Miguel Gamondi atapukutisha mastaa wanne (4) wa kigeni kwenye kikosi cha sasa ambao ni Skudu Makudubela Agustine Okrah Joyce Lomalisa na Kennedy Musonda.


Habari za uhakika zinasema kuwa mabosi wa Yanga wamemhakikishia usajili wa maana Gamondi ambao watakuja kubadilisha mambo kwenye kikosi cha kwanza na miongoni mwao ni beki Chadrack Boka wa FC Lupopo ya DR Congo na pia jina la Clatous Chama limesogezwa kwa GSM.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad