Kuhusu Pacome Kuondoka Yanga Huu Ndio Ukweli


https://www.udakuspecially.com/

Pacome mbioni kuongeza mkataba wa miaka miwili Yanga!

Yanga wako kwenye mazungumzo ya mwisho ya mumuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wao Pacôme Zouzoua✍️

Ni kweli kiungo huyo amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na Yanga ila siku siyo nyingi atasaini mkataba mpya wa miaka miwili jangwani✍️

So far Yanga hawajapokea ofa yoyote kutoka nje ya nchi,ingawa hapa nchini klabu ya Azam ilionyesha nia ya kumsajili…..lakini hata wao hawajapeleka ofa yeyote Yanga!

Ukweli ni kwamba Pacome hajaomba kuondoka Yanga❌

Kwa sasa yuko mapumzikoni na anatarajia kurejea nchini tarehe 5/7/2024 ili kujiandaa na msimu uajo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad