Lulu Diva Atoa Onyo Kali Kwa Media iliyomchafua




Msanii wa muziki Tanzania @luludivatz ametoa onyo Kali Kwenye media iliyomchafua Kwa maneno aliyoyasema @iamlavalava na media hiyo kanipa siku moja tu ili irekebishe

PIA AMEANDIKA MANENO HAYA
kuna Muda Nakaa Kimya Ila Haimaanishi Mimi Ni Mjinga au Mpumbavu ila Naamua Kua kimya kwa Kulinda na kujiheshim Binafs Ila Sasa naona Naonekana kama Zoba kwa Kutaka kutrend kwenu kutumia Jina Au Maneno kuhusu Mimi nimechoshwa na nimechoka Tabia hizo ikiwemo Baadhi ya Media Na Wasanii Kwa kauli mbaya na za kuchafuliwa "
Nimesikitishwa Na Kauli za Msanii @iamlavalava Dhidi yangu zisizo na heshima Dhidi Yangu Nahisi Sasa Ni Muda Kila Mmoja Wa Kumheshim Mwenzie na Kutokuchukuliana poa , Sheria Itachukua Mkondo wake kwenye Hili...Na Mkome Mara Moja👆🏽Na Sio Ombi Ni Lazima


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad