Magori Atupa Dongo Kizani "Mchezaji Mnaomlilia Kila Mwaka Nimemleta Mimi"




"Mchezaji ambaye wanamlilia kila mwaka mimi ndio nimemleta na mimi ndjo nimeleta wachezaji ambao wamekuja kuwa gumzo Africa na msimu huu, Tupo makini sana na kelele zao zinaashilia hofu juu ya ujio wangu na nasema kwamba ndjo kwanza tumeanza"

WANA SIMBA MSIWE NA WASI WASI KABISA

"Mimi sio mgeni katika usajili nimekuwa katika hii nafasi misimu 4 na yote Simba ilikuwa Bingwa na sio Bingwa tu tulifanya makubwa africa mpaka kuingia Top 10 ya timu tishio Africa, naomba kuwaondoa Wasiwasi kuwa natambua figisu zinazoendelea juu ya usajili wa Lawi lakini naomba kuwaambia kuwa nipo makini sana pamoja na viongozi wenzangu".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad