Mangungu Atema Cheche "Anayesema Nahujumu Timu ya Simba Hana Kadi ya Uanachama


Mangungu

“Sisi tunajuana tangu tunakua , haiwezekani mtu ambaye hana nasaba na Simba akawa ndani ya klabu , mimi nimepata kadi yangu ya uwanachama mwaka 1993”

“Niulize sasa , Kwahiyo tangu mwaka 1993 tuseme nilijipanga nije kuwa mwemyekiti wa Simba ili nije kuihujumu ? anayenishutumu mimi nahujumu Simba yeye hata kadi ya uanachama hana”

Majibu ya Murtaza Mangungu kuhusu kuihujumu Simba SC

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad