Mangungu na Try Again Wagoma Katu Katu Kujiuzulu..Mo Dewji Analo


Mangungu na Try Again Wagoma Katu Katu Kujiuzulu..Mo Dewji Analo


BREAKING: Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ wamesema hawana mpango wa kujiuzulu nafasi zao.

Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu kwa sasa wamesafiri nje ya nchi na wametoa matamko kwamba hawajajiuzulu na hawatajiuzulu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad