Mbunge Msukuma: Mpina Afanyiwe Uchunguzi wa Afya ya Akili....


Mbunge Msukuma: Mpina Afanyiwe Uchunguzi wa Afya ya Akili....


Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma ameshauri Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili akisema kwamba haamini kama yuko sawa.

Musukuma amesema kuwa matendo ambayo Mpina aliyafanya akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi yanamfuata hadi leo akisema kuwa aliwasababishia watu wengi maumivu.

Musukuma ametoa pendekezo hilo wakati akichangia hoja ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhusu uchunguzi wa kamati juu ya tuhuma dhidi ya Mpina ya kudharau mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za Bunge.

Globalbublisher

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad