MCHAMBUZI: Barbara Harudi Simba Hata Kwa Dawa




Mpaka hivi sasa wapo viongozi Simba ambao tayari wameshajiuzulu na pia huenda wapo ambao wataendelea kujiuzulu...lakini suala la urejeo wa Barbara hapana kwangu mimi asilimia 100% ninavyofahamu, ikitokea ndivyo sivyo sawa, lakini kwa hivi sasa hapana urejeo wa Barbara na haupo hata kwa asilimia 30%...ila nina uhakika wa mtu mmoja ambaye ndiye anarejea, ila kwa sasa muda bado haujafika wa kumtaja, kama muda ukifika nitamtaja" @albogastbm

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad