Mkataba wa Chama Wafika Ukingoni Simba SC , Atimkia Zambia

Mkataba wa Chama Wafika Ukingoni Simba SC , Atimkia Zambia

Mara baada ya kumalizika kwa Mkataba wake na Klabu ya Simba,Clatous Chama ameanza safari ya kurejea Nyumbani kwao Zambia kwaajili ya mapumziko.


Chama kwa sasa hana timu na kuna vilabu kadhaa vimekuwa vikimnyatia kumsajili huku Simba wakipambana abaki Klabuni hapo na bado hakuna taarifa rasmi kuwa amesaini Mkataba mpya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad