Mkuu wa Mkoa Chalamila Afunguka Kuhusu Wadada Poa Waliokamatwa na Polisi




Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema wale wachache ambao wanahisi kuwa wamama wale wamedhalilishwa ukweli ni kwamba hakuna aliyewavua nguo, nguo wamejivua wenyewe hakuna mama hata mmoja aliyefanyiwa vitendo hivyo bali walichukuliwa kama walivyo vaa wenyewe na kupelekwa mahala ambapo patasitilika.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad