Mwamuzi Fainali Kombe la CRDB atupiwa lawama

Mwamuzi Fainali Kombe la CRDB atupiwa lawama


Anaandika Biko Scanda,

Ukitazama kwa jicho la kawaida kwamba hajainyima timu yoyote penati unaweza kusema ni mwamuzi bora kabisa lakini ukimtazama kwa jicho la Kiufundi ni mwamuzi muongo mnoo……. kama @zakazakazi haogopi kufungiwa kisha akaja na VICLIPU vya Fainali hii basi utaona namna ARAJIGA ni Muongo na ana upendeleo wa matukio.


Dickson Job hakupaswa kumaliza dakika 90 za kawaida, Aziz Ki alistahili kadi ya Njano dakika Fulani za mchezo kabla ya kumalizika 90 za kawaida, Azam wamenyimwa matukio meeengi muhimu ya mchezo lakini huwezi kuyaona kwa jicho la Kishabiki…… Yahya Zaidi hakumchezea Faulo Aziz Ki na wamenyimwa ADVANTAGE nyingi za mchezo.


ARAJIGA MUONGO MUONGO ANATIA MASHAKA.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad