Mwigizaji Aunty Ramota Aripotiwa Kupotea Fahamu Baada ya Upasuaji wa Makalio

Mwigizaji Aunty Ramota Aripotiwa Kupotea Fahamu Baada ya Upasuaji wa Makalio


Muigizaji wa Nigeria, Aunty Ramota maarufu kwa umbo dogo, ameripotiwa kupoteza fahamu tangu jana, 8 Juni baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuboresha muonekano wake katika hospitali ya Ikorodu jimbo la Lagos.

Aunty Ramota alifanyiwa upasuaji wa kuboresha maumbile ya makalio maarufu kama BBL. Inadaiwa upasuaji wake ulienda vibaya kwani ulimfanya kuwa katika ya kukosa fahamu kwa mujibu wa @_tosinsilverdam

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad