Baada ya Masoud Kipanya Kuponda Watangazaji wanaohama hama vituo vya Redio, Mwijaku Amemshukia kwa Kuandika haya katika Instagram:
NIACHENI Wewe wakati unajitafuta kimaisha ulifanya vingi hadi MATANGAZO YA POMBEE hakuna Muislamu walie kunyooshea kidole walikaa kimya sababu hatujui ULIPITIA kitu gani katika maisha yako .Instead ya kuanza kufatilia maamuzi yangu .
Hebu kaa utubu dhambi zakoo za kufanya matangazo ya Pombe na kuwashawishi mamilioni ya watanzania kuharibu maisha yao .Mimi nakuomba uniache hujui shida zangu hujui nimekujaje mjini ? Au unataka woote tufanye biashara haramu kama unazo zifanya wewe ? Wengine hatuwezi kufanya biashara HARAMU kama wewe mzee .Usitake tuseme mambo yako hapa tukaharibuana usiku huu
Mimi natafuta hela yangu ya halali mzee sijawahi kula pesa ya haramu kama wewe . Na kaa ukijua sihitaji ushauri katika maisha yangu .
Kaa utubu zambi zako na hayo mabiashara yako ya kiharamu mzeee laiti watanzania wangejua unayo yafanya sidhani kama kuna mtu angeketi kukaa na wewe au hata kuzungumza na wewe . Umekua mwiba kwa vijana kuharibikiwa maisha yao , na hakuna alie simama na kukumyooshea vidole #Leo Mil 20 inafanya mshipa unakusimama kama umetolewa roho kaka .
Haya maisha kila mtu ana muda wake mzeee . Wewe muda wako ulipita na uliamua kutangaza pombe na kujiingiza kwenye ma biashara yako haramu hakuna alie kusema wala kukushauri ,so sisi tuache tulio chagua njia halali na salama kaka . Chini ya ardhi ya mola wetuu .
Niache narudia tena nitayasema yako yoote uje useme nimekuharibia maisha kaka yangu . Nakuonya achana na mimi kabisaaa . Kama ulizoe kuwazodoa vipngozi wa nchi na maraisi kwa kuwadhalilisha sio mimi sitakaaa kimyaaaaaaa . JIJESHIMU hujui nimefikaje hapa .
Ungekua wewe mtamgazi bora usinge kubali KUHONGWA ili uiseme vibaya serikali na viongozi wake . Na unajua kabisa ni kosa kutumika hivyo . Na watu tumekaa kimyaa kabisa na serikali imeamua kukupuuza sasa unaona huko hapatoshi unanifata na mimi . Kaka yangu RESPECT ME sitakaa kimya . #Focus #Hatukufundishi#SeeYouAtTheTop