Mwijaku na Masoud Kipanya Kimenuka...Mwijaku Amtaka Masoud Atubu Kwa kutangaza Matangazo ya Pombe

Mwijaku na Masoud Kipanya Kimenuka...Mwijaku Amtaka Masoud Atubu Kwa kutangaza Matangazo ya Pombe



Baada ya Masoud Kipanya Kuponda Watangazaji wanaohama hama vituo vya Redio, Mwijaku Amemshukia kwa Kuandika haya katika Instagram:

#NAKUHESHIMU -MASOUD KUPANYA  @masoudkipanya ..! Kaka nikuombe kitu hebu niache ndugu yangu . Hujui maisha yangu na hujui nilipo tokea .Mpaka hapa nilipo, Na kama umetumwa pia nawaonya woote . 

NIACHENI Wewe wakati unajitafuta kimaisha ulifanya vingi hadi MATANGAZO YA POMBEE hakuna Muislamu walie kunyooshea kidole walikaa kimya sababu hatujui ULIPITIA  kitu gani katika maisha yako .Instead ya kuanza kufatilia maamuzi yangu . 

Hebu kaa utubu dhambi zakoo za kufanya matangazo ya Pombe na kuwashawishi mamilioni ya watanzania kuharibu maisha yao .Mimi nakuomba uniache hujui shida zangu hujui nimekujaje mjini ? Au unataka woote tufanye biashara haramu kama unazo zifanya wewe ? Wengine hatuwezi kufanya biashara HARAMU kama wewe mzee .Usitake tuseme mambo yako hapa tukaharibuana usiku huu 

Mimi natafuta hela yangu ya halali mzee sijawahi kula pesa ya haramu kama wewe . Na kaa ukijua sihitaji ushauri katika maisha yangu .

Kaa utubu zambi zako na hayo mabiashara yako ya kiharamu mzeee  laiti watanzania wangejua unayo yafanya sidhani kama kuna mtu angeketi kukaa na wewe au hata kuzungumza na wewe . Umekua mwiba kwa vijana kuharibikiwa maisha yao , na hakuna alie  simama na kukumyooshea vidole #Leo Mil  20 inafanya mshipa unakusimama kama umetolewa roho kaka . 

Haya maisha kila mtu ana muda wake mzeee . Wewe muda wako ulipita na uliamua kutangaza pombe na kujiingiza kwenye ma biashara yako haramu hakuna alie kusema wala kukushauri ,so sisi tuache tulio chagua njia halali na salama kaka . Chini ya ardhi ya mola wetuu .

Niache narudia  tena nitayasema yako yoote uje useme nimekuharibia maisha kaka yangu . Nakuonya achana na mimi kabisaaa . Kama ulizoe kuwazodoa  vipngozi wa nchi na maraisi  kwa kuwadhalilisha sio mimi sitakaaa kimyaaaaaaa . JIJESHIMU hujui nimefikaje hapa . 

Ungekua wewe mtamgazi bora usinge kubali KUHONGWA ili uiseme vibaya serikali na viongozi wake . Na unajua kabisa ni kosa kutumika hivyo . Na watu tumekaa kimyaa kabisa na serikali imeamua kukupuuza sasa unaona huko hapatoshi unanifata na mimi . Kaka yangu RESPECT ME sitakaa kimya . #Focus #Hatukufundishi#SeeYouAtTheTop

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad