Nandy Amzawadia Msanii wake gari

 

Nandy Amzawadia Msanii wake gari

Msanii Nandy na C.E.O wa The African Princess label siku ya leo amemzawadia Msanii wake @yammitz ambapo mpaka sasa anafanya vizuri kwenye kiwanda cha Mziki wa Bongo Fleva.


Msanii nandi amendika Kupitia Insta Stori yake kuwa


“Msanii haya Jua limekukwepa Sasa!!!"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad