Pambano la Mwakinyo Laota Mbawa, Kisa Msimamizi wa Pambano...



Pambano la Ngumi kati ya Mtanzania Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey la kuwania Ubingwa wa Afrika mkanda wa WBO limeota mbawa baada ya Msimamizi wa Pambano hilo, Kaptein Samir ambaye ni Mwakilishi wa WBO Afrika kutofika ulingoni kwa kile kinachodaiwa kutolipwa pesa za pambano hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad