RAIS RUTO autupilia mbali MUSWADA wa FEDHA 2024, adai amesikiliza na kutii sauti za WAKENYA

RAIS RUTO autupilia mbali MUSWADA wa FEDHA 2024, adai amesikiliza na kutii sauti za WAKENYA

RAIS RUTO autupilia mbali MUSWADA wa FEDHA 2024, adai amesikiliza na kutii sauti za WAKENYA

Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa ameufuta mpango wake wa kusaini muswada ambao umesababisha maandamano makubwa Nchini humo kwa siku kadhaa “kwa kuwasikiliza Watu wa Kenya waliopaza sauti kwamba hawautaki muswada huo, nimeamua sitousaini... kama Taifa sasa kuna umuhimu wa kuwa na majadiliano ya namna tutakavyokwenda mbele” 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad