Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Petro Magoti Itozya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akichukua nafasi ya Fatma Almas Nyangasa ambaye amehamishiwa Wilaya ya Kondoa.
Kabla ya Uteuzi huu, Magoti alikuwa Msaidizi wa Rais katika Masuala ya Siasa.