Ramada Resort Yakanusha Uvumi Kuhusu Kujihusisha na Maswala ya Mapenzi ya Jinsia Moja

Ramada Resort Yakanusha Uvumi Kuhusu Kujihusisha na Maswala ya Mapenzi ya Jinsia Moja

 Hoteli ya Ramada Resort Dar es Salaam, imetoa tamko dhidi ya uvumi ulionea kuhusu kujihusisha na mtandao wa LGBTQ (Pan Africa ILGA).

Uvumi huo ulioenea kupitia mtandao wa X (zamani twitter) ulikuwa kwenye barua iliyokuwa ikiashiria kumshukuru na kumpongeza mmoja wa viongozi wa Ramada Resort kwa kuwalinda wanajamii wa LGBTQ.

Hata hivyo kupitia mtandao wa X, Pan Africa ILGA imekanusha kwamba BARUA HIO HAIJATOKA KWAO na ni uvumi uliotengenezwa na watu wenye NIA MBAYA.

Ramada Resort Dar es Salaam imewaomba WATANZANIA kupuuzia taarifa hizo.

Ramada Resort Yakanusha Uvumi Kuhusu Kujihusisha na Maswala ya Mapenzi ya Jinsia Moja

Ramada Resort Yakanusha Uvumi Kuhusu Kujihusisha na Maswala ya Mapenzi ya Jinsia Moja

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad