RAS Kilimanjaro na Dereva Wake Wafariki Dunia Ajali ya Gari Kia


Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Tixon Nzunda na dereva wake wamefariki kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la KIA wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, na kwamba imetokea majira ya saa nane mchana leo Juni 18, 2024

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad