Rasmi Kibu Dennis ni Mali ya Simba, Apewa Miaka Miwili

 

Rasmi Kibu Dennis ni Mali ya Simba, Apewa Miaka Miwili

Licha ya kufunga bao moja tu kwenye Ligi Kuu bara msimu uliopita, Kibu Dennis amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia Simba Sc kwa miaka miwili zaidi mpaka 2026.


“Kibu D ataendelea kusalia klabuni baada ya kuongeza mkataba mpya” imesema taarifa ya Simba Sc kwenye mitandao ya kijamii.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad