SATIVA: Nilitekwa na Kupelekwa Kwenye Karakana ya Kituo cha Oysterbay

SATIVA: Nilitekwa na Kupelekwa Kwenye Karakana ya Kituo cha Oysterbay


Edger Mwakalebela maarufu katika Mitandao ya Kijamii kama #Sativa, amesema baada ya kutekwa na Watu wasiojulikana Juni 23, 2024 alipelekwa katika Karakana ya Kituo cha Oysterbay, Dar es Salaam

Sativa amepatikana leo Juni 27, 2024 akiwa katika Pori la Hifadhi ya Taifa ya Katavi, ambapo Jeshi la Polisi Katavi limesema baada ya mahojiano ya awali Sativa alisema watekaji walimsafirisha hadi Arusha na baadaye kupelekwa Katavi

Video Credits: Nipashe Digital

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad