Shaffih Dauda Akosoa Vikali Mo Dewji Kurudi Kuwa Mwenyekiti wa Bodi Simba...




KIVYETU VYETU ! Taarifa inasema Dewji karudi Simba kama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi , tuanzie hapaSimba SC imekuwa na bodi kivuli ya wakurugenzi , bodi ambayo haitambuliki kisheria na taratibu za uendeshaji wa klabu kisasa kama ambavyo imekuwa ikitajwa Kwa sababu hakuna watu wanaotoka hadharani na kuhoji uhalali wa bodi hiyo , mashabiki , wadau na wafuatiliaji wa mpira wanaaminishwa Simba kuna bodi ya wakurugenzi .

Swali ,Kama mchakato haujakamilika bodi imetokea wapi ? wanachokifanya Simba ni sawa na mwanafunzi wa primary anayelazimisha kuvaa mavazi ya secondary! Tuache ubabaishaji ili hii bodi inayozungumzwa hapa iwe halali , mchakato wa mabadiliko ukamilike kwanza

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad