Simba Watambulisha Usajili wao wa Kwanza, ni beki Lameck Lawi

 

Simba Watambulisha Usajili wao wa Kwanza, ni beki Lameck Lawi

Klabu ya Simba imetangaza kumsajili Beki Lameck Lawi akitokea katika Klabu ya Coastal Union.

Lameck anasifika kama kijana mdogo mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati kati.

Ni wazi sasa nafasi ya Kennedy Juma ambae ametangazwa kuachwa imezibwa na Lameck Lawi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad