Simba Watangaza Rasmi Kuachana na Inonga, Wampa Thanks


Club ya Simba SC imetangaza kuwa Beki wao wa Kimataifa wa Congo DR Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi chao kwa msimu ujao baada ya kuafikiana kumuuza kwenda FAR Rabat ya Morocco.

Inonga ambaye alijiunga na Simba SC 2021 akitokea DC Motema Pembe ya kwao Congo DR, anaondoka baada ya kuitumikia Simba kwa miaka mitatu na alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja hadi 2025

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad