Tanzania Yapanda Nafasi Tano viwango vya ubora FIFA

 

Tanzania Yapanda Nafasi Tano viwango vya ubora FIFA

Tanzania imepanda nafasi tano katika viwango vya ubora soka vya FIFA kutoka nafasi ya 119 hadi 115 ambavyo vimetolewa Juni 20/ 2024.

Tanzania imepata alama 1174 tofauti na mwezi uliopita ambapo ilipata alama 1159 ongezeko la alama 15.

Kwa upande wa Burundi imesalia nafasi ya 140 sawa na mwezi uliopita ikiwa na alama 1091.

Nigeria imeporomoka nafasi nane kutoka nafasi ya 30 hadi 38 katika viwango vya FIFA.

Kwa upande wa Afrika,Morocco inaendelea kushikilia usukani nafasi lakini ya kumi na mbili Dunia huku nafasi ya pili ikikamata na Senegal.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad