TANZIA: Mbunge afariki Dunia, Spika Tulia atangaza

 

TANZIA: Mbunge afariki Dunia, Spika Tulia atangaza


Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema hayo leo Alhamisi Juni 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 47 cha mkutano wa Bunge la bajeti huku akisema taarifa zaidi zitatolewa baadaye.


Baada ya tangazo hilo wabunge walisimama kwa ajili ya kumpa heshima.


Endelea kufuatilia Mitandao yetu kwa habari zaidi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad