Tetesi: Mbwana Samatta Kukipiga na Ronaldo

 

Tetesi: Mbwana Samatta Kukipiga na Ronaldo

Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika kutokea Ugiriki Klabu ya Al Kholood ya Saudi Arabia imetuma ofa katika Klabu ya PAOK ya Ugiriki kwa ajili ya kumpata nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta.


Samatta (31) bado ana Mkataba na PAOK hadi mwisho wa msimu wa 2024/2025, PAOK bado wanasita kufanya maamuzi hadi wajihakikishie kupata mbadala wake japokuwa ofa waliyowekewa mezani inatamanisha.


Al Kholood ni timu iliyopanda Ligi Kuu Saudi Arabia baada ya kumaliza nafasi ya tatu katika Ligi daraja la kwanza Saudi Arabia msimu uliomalizika hivyo wanajipanga kuhakikisha wanaleta ushindani wa kweli Ligi Kuu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad