TETESI za Usajili: Dube Amalizana na Azam FC, Sasa Huru Kutua Yanga

 

TETESI za Usajili: Dube Amalizana na Azam FC, Sasa Huru Kutua Yanga

Mshambuliaji ambaye ni raia Zimbabwe, Prince Dube amekamilisha kulipa fidia zote alizokuwa akidaiwa na klabu ya Azam ili akatafute changamoto sehemu nyingine.


Mshambuliaji Prince Dube anasubiri barua ( Release Letter ) kutoka Azam baada ya kukamilisha malipo hayo, ameshetumiwa ujumbe kuwa atapewa barua hiyo mwanzoni mwa wiki ijayo.


Prince Dube anahitaji kubaki Tanzania kucheza moja ya klabu za Kariakoo kuelekea msimu ujao kwenye michuano mbalimbali ya ndani na ya CAF kwa 2024/25.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad