Web

Tiwa Savage "Rema Hawezi Kunimudu Kitandani"

Top Post Ad

 

Tiwa Savage "Rema Hawezi Kunimudu Kitandani"

Staa wa Nigeria, Tiwa Savage amesema hawezi kuwa na uhusiano na Rema kwani bado ni mtoto kwake.


"Nampenda sana Rema lakini siwezi kudate naye kwa sababu bado ni mtoto na hawezi kunimudu vizuri," amesema na kuongeza.


"Alikuja kwangu akiomba tuchumbiane lakini nikamwambia anafanana na mtoto kwani bado mdogo sana kuchumbiana na mtu wa rika langu." amesema Tiwa Savage.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.