Waarabu Sio Watu Wazuri Wadhamiria Kuibomoa Liverpool, Virgil van Dijk Huyoooo

 

Waarabu Sio Watu Wazuri Wadhamiria Kuibomoa Liverpool, Virgil van Dijk Huyoooo

Klabu ya Al Nassr Fc inakusudia kumsajili beki wa Liverpool na Uholanzi Virgil van Dijk na inapanga kumfanya kuwa beki anayelipwa ghali zaidi Dunia.


Miamba hiyo ya Saudi Arabia tayari imekutana na wawakilishi wa beki huyo wa zamani wa Southampton.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad