Watatu Watupwa Jela Miaka 3 Kwa Kosa la Kumbagua Mchezaji Vinicius Junior


Watatu Watupwa Jela Miaka 3 Kwa Kosa la Kumbagua Mchezaji Vinicius Junior


Watu watatu wamehukumiwa kifungo cha miezi minane jela na kufungiwa kwenda uwanjani kwa kipindi cha miaka 2 kwa kosa la ubaguzi walilomfanyia Vinicius Junior wakati wa mchezo wa Real Madrid dhidi ya Valencia Mei 2023.

Hii inakuwa ni mara ya kwanza mashabiki wa soka kuhukumiwa kwa unyanyasaji wa ubaguzi wa rangi kwenye mchezo wa mpira wa miguu nchini Uhispania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad