ZITTO Kabwe: Nipeni Simba Kwa Miezi 12 Muone Kisha Niwarudishie

 

ZITTO Kabwe: Nipeni Simba Kwa Miezi 12 Muone Kisha Niwarudishie

Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe kupitia ukuirasa wake wa mtandao wa kijamii wa X (Tweeter) akichangia mjadala una-trend hivi sasa mtandaoni kuhusu migogoro ya klabu ya Simba, ameomba kupewa klabu hiyo kwa miezi 12 tu.

Kupitia Ukurasa wake wa X (Tweeter) Zito ameandika;

"Naiomba Timu kwa miezi 12 tu kisha niwarudishie! Rejea TCD"


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad